Kuna
video ambazo kweli zingekuwa zinatengenezwa hapa kwetu tzee, ungekuta
serikali imeshazifungia, hii ni kutokana na maadili ya kwenye video
hiyo, ila hii hapa ni zaidi ya maadili, na kama unahisi ulishawahi kuona
video chafu basi kaa hapa uitizame hii mpya kabisa inaitwa “Pombe
yangu”, ni video ya muziki kutoka huko nchini Kenya. Hii video imepata
hits 12000 ndani ya masaa matatu tu.
Post a Comment