Madee aliongeza kuwa licha ya Ney wa Mitego kumletea upinzani juu ya cheo chake cha Raisi wa Manzese lakini bado ataendelea kuwa Rais wa manzese kwa sababu dunia nzima inatambua kuwa Madee ndiyo Rais wa Manzese na kamwe haitakuja kujirudia maana hakuna uchaguzi mwingine uliofanyika na kamwe hautakuja fanyika hivyo yeye ndiye Rais wa manzese. “Madee Seneda ndio rais wa manzese na dunia yote inalijua ilo,vilevile uchaguzi mwengine haujafanyika na hautafanyika tena,so nitaendelea kuwa raisi wa Manzese”
Nampenda Ney wa Mitego ila Rais wa Manzese ni mimi hata dunia inajua hilo- Madee
Rais wa Manzese ambaye kwa sasa
anatamba na ngoma yake ya tema mate tuwachape Madee amefunguka na kusema
kuwa anampenda na kumkubali Ney wa mitego kutokana na ukweli kwamba
mkali huyo anajua akifanyacho na piaanajiamini katika kazi yake,Madee
amefunguka na kusema hayo leo alipokuwa akicha Live kupitia ukurasa wa
Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live.

Post a Comment