0

Msanii Jaguar kutoka kenya ambaye hivi karibuni aliripotiwa kwenda South Africa kwa ajili ya kufanya mkutano wa kiabishara lakini pia habari za chini ya kapeti zinasema kuwa msanii huyo alikwenda kuwekeza kwenye soko la mziki wa South Africa kwa kufungua Studio kali na ya kisasa ambayo itajengwa kwenye jiji la Cape-town.Baada ya masaa kadhaa mitandao imezinasa picha zake akionekana akiwa kanisani akifunga ndoa na binti mrembo picha zote ziko hapa chini Jaguar Secretly Weds In South Africa

 Jaguar Secretly Weds In South Africa


 Jaguar Secretly Weds In South Africa

Post a Comment

 
Top