Rehema Fabian katika pozi.“Anajidhalilisha sana, nahisi hajui thamani yake kwani mtu mwenye kujitambua hawezi kuweka picha zinazoonesha mwili wake ukiwa mtupu, asipo jirekebisha yatakuja kumkuta makubwa maana kila mmoja anaamini anajiuza,” alisema shabiki huyo aliyeomba hifadhi ya jina.
Rehema Fabian.“We kila siku habari zako ndiyo hizohizo, kwa nini usitafute kazi nyingine ya kufanya na kukuingizia kipato?” ilisomeka komenti hiyo katika mtandao wa Instagram.

Baada ya kupata malalamiko hayo ya kumponda Rehema kutoka kwa mashabiki tofauti, paparazi wetu alimcheki nyota huyo kupitia simu yake ya mkononi, alipopatikana alifunguka:
“Nimepiga mwenyewe na kuziweka katika ukurasa wangu, sasa nashangaa hao wanaosema eti najidhalilisha kwa lipi hasa?”
Post a Comment