Staa
wa filamu ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa kufungasha
Tanzania nzima, Efranciya Mangii ameibuka na kupasua jipu kuwa
licha ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini hakuna mwanaume
aliyewahi kumridhisha kimahaba ( kumfikisha kileleni).
Akiteta nasi jijini Dar
es Salaam, Efranciya ambaye amewahi kukumbwa na skendo ya
kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa wanawake ( Usagaji )
alisema kila mwanaume anayekuwa naye hamfikishi popote….

“Sijawahi na bado
siamini kama naweza kupata mwanaume anayeweza kunifikisha
kileleni na hatimaye kunifanya niyafurahie mapenzi. Hata hivyo,
ntafanyaje na mimi nimeumbwa hivi? Kikubwa ni kwamba nimezaa na
ninajisikia faraja sana,” alisema Efranciya.

Msanii huyo aliyeibukia kwenye
shindano la Maisha Plus na kujizolea umaarufu mwingi, alieleza
kwamba hajawahi kujihusisha na usagaji na daima hatathubutu
kufanya hivyo.
Post a Comment