Miriam
Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii
Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
Akizungumza
na paparazi wetu, Jini alisema watu wengi wamekuwa wakiuponda uhusiano
wake kwa kuwa Bushoke anaishi Afrika Kusini na kuona hakuna mapenzi ya
kweli lakini ukweli anaoujua yeye ndoa ipo.
Msanii wa Bongo Fleva Maximilian Bushoke.
“Piga
ua garagaza, Bushoke ndiye mwanaume ambaye anajua kunipa tiba nzuri ya
mapenzi, hakuna mwingine, atanioa tu kwa sababu sioni kipingamizi,”
alisema Jini Kabula.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
Msanii wa Bongo Fleva Maximilian Bushoke.
Post a Comment