Baadhi
ya Mashabiki wa Wema Sepetu Wamekuja Juu Baada ya Kuona Wema Sepetu
Anazidi Kupata Umaarufu tu Kwa Kupitia Skendo Badala ya Kutumia
Umaarufu alio nao kufanya Vitu vya Maana, Shutuma nyingi zinapelekwa kwa
Manager Wake Ambae Wengi Walizani Atafanya Mambo Makubwa Kupitia Jina
la Wema Sepetu Lakini Mpaka sasazaidi ya Mwaka hakuna cha maana
alichofanya zaidi ya Mapicha picha tu Instagram...
Baadhi ya Waliomnanga Martini Kadinda ni huyu Hapa jisomee mwenyewe:
Post a Comment