
Madee aliongeza kuwa licha ya Ney wa Mitego kumletea upinzani juu ya cheo chake cha Raisi wa Manzese lakini bado ataendelea kuwa Rais wa manzese kwa sababu dunia nzima inatambua kuwa Madee ndiyo Rais wa Manzese na kamwe haitakuja kujirudia maana hakuna uchaguzi mwingine uliofanyika na kamwe hautakuja fanyika hivyo yeye ndiye Rais wa manzese. “Madee Seneda ndio rais wa manzese na dunia yote inalijua ilo,vilevile uchaguzi mwengine haujafanyika na hautafanyika tena,so nitaendelea kuwa raisi wa Manzese”
Post a Comment